Friday, August 1, 2014

Guru G Lover alonga juu yaliyomo kati yake na Ali Kiba

Dj G Lover Dj wa siku nyingi katika anga ya muziki Tanzania na Dj anaepambana na kuupaisha muziki wa kizazi kipya kila kukicha leo Ijumaa Aug 1, 2014 alifanya mahajiano ya simu na VIJIMAMBO  aliongelea mambo mengi kuhusu wasanii na sababu gani walishindwana yeye na Ali Kiba MSIKILIZE
Picha juu na chini Dj G Lover akiwa na wasanii mbambali wa Bongo Flava

No comments:

Post a Comment